EBWANA ni mwendo wa kuvishana pete kwa mastaa nchini India, hii ni baada ya Staa wa mchezo wa Kriketi, Zaheer Khan kuweka hadharani picha zake akimvisha pete ya uchumba kimwana wa filamu, Sagarika Ghatge.
Kupitia mtandao wake wa Twitter, Khan alitupia picha hizo za tukio hilo ambalo lilifanyika mwanzoni mwa wiki ambapo mastaa wenzao Yuvraj Singh na Hazel Keech’s walihudhuria.
Katika kuonesha namna alivyopagawa na tukio hilo, Khan aliandika maneno ya mapenzi juu ya mrembo huyo huku akimuita mke bora ambaye amechangia yeye kujituma zaidi na kupata mafanikio.

0 Comments:
Post a Comment