EBANA huku kutaka kiki kwa Harmorapa sasa kunaelekea kubaya baada ya kudai eti Veterani, Juma Nature alimdai pesa baada ya kumpa collabo ya wimbo wake mpya wa Kiboko ya mabishoo.
Sasa kusikia madai hayo ya Harmorapa, Nature amejitokeza na kuvunja ukimya kuwa chipukizi huyo hana pesa ya kumlipa na kwamba hakumdai kiasi chochote cha fedha bali alifanya kwa mapenzi ili kumsaidia msanii huyo.
“Harmorapa anakosea sana kusema nilimdai pesa, ningesema nimchaji basi tusingekua tumefanya collabo ile maana hana hela ya kunilipa, mimi nilifanya nae baada ya kuona wimbo ni mkali na utafika mbali, aache kujisifu na kutafuta kiki zisizo na maana,” anasema Nature.

0 Comments:
Post a Comment