Friday, February 24, 2017

Chris Brown kuja kuwashika


Abuja, Nigeria

MBABE wa muziki wa Pop nchini Marekani, Chris Brown anajiandaa kuja na ziara yake kubwa kimuziki iliyopewa jina la Party Tour ambapo anatarajiwa kuzunguka hapa nchini nan je ya nchi.

Katika ziara hiyo Breezy ataambatana na wasanii kama 50 Cent, French Montana, Fabolous, O.T. Genasis, Kap G na Casanova.

Kupitia mtandao wa Twitter, Chris aliweka picha ya jarada la ziara hiyo na kuandika kuwa siku zimekaribia hivyo kuwataka mashabiki wake kukaa mkao wa kula.

Huo umekuwa ni mfululizo wa ziara kwa wasanii wengi wa Marekani ambapo tayari imeshashuhudiwa zaira za wasanii kama vile Bruno Mars, Drake na Beyonce.

0 Comments: