Friday, February 24, 2017

Adegbite adai hakuna mwanaume kama mumewe


Abuja, Nigeria
MSANII wa kike Damilola Adegbite amesema kuwa katika dunia hii hakuna mwanaume ambaye anaweza kumpa kitu ambacho hajawahi kupewa na mumewe Chris Attoh.

Aliyasema hayo wakati akifanya kumbukumbu ya ndoa yake tangu alipoolewa na mwanaume huyo.

"Kwenye maisha yetu ya ndoa sisi ndiyo matatizo na sisi ndiyo suluhisho, tunajuana kwa undani ni nini tunataka na kwa maana hiyo wala hatuushi kwa shinikizo kutoka kwa mtu yoyote,"anasema.

Anaongeza kama ndani ya ndoa yao kungekuwa hakuna maelewano mazuri basi ingekuwa ngumu kufika hapo walipo na kuwataka wengine kuiga mfano wao.

0 Comments: