KUNA orodha ndefu ya mastaa wa kike 10 wanaongoza kwa kutazamwa kwenye mitandao ya kijamii na anayeongoza kwenye listi hiyo ni Staa Wema Sepetu ambaye anaangaliwa na watu milioni 2.5M
Wakati nafasi ya pili na kuendelea iko hivi Jackline Wolper watu milioni
2.4, Jokate Mwegeleo watu milioni 2.3, Shilole watu milioni 2.2, Aunt Azekiel watu milioni 2.2 na Vanessa Mdee watu milioni 2.1.
Mastaa wengine ni Shamsa Ford watu milioni 2, Elizabeth Michael(Lulu) watu milioni 1.9, Linah Sanga watu milioni 1.9 na nafasi ya 10 inashikiliwa na Rose Ndauka watu milioni 1.7.
0 Comments:
Post a Comment