STAA Kajala Masanja ameamua kujibu mapigo dhidi ya baadhi ya watu ambao wamekuwa wakifuatilia maisha yake na kumzushia mambo yasiyofaa binti yake.
Wiki hii kwenye mitandao ya kijami habari inayoendelea inamhusu video ambayo inadaiwa inamwonesha binti wa Kajala ambaye umri wake ni chini ya miaka 18 akifanya mapenzi na mtu mzima ndani ya gari.
Kajala kwa kutumia instagram ameandika “jamani sina shida na mtu kama akinichukia au akinisema mimi kwa kitu chochote kile” kwasababu najua binadamu kuongea mmezoea..
“Ila katika kuongea kwenu,kuingilia na kujudge my life naomba msimuingize mtoto wangu.Sijwahi kumuomba mtu anisaidie kulea hata siku moja” nimeona kuna video insambaa mnasema ni mwanangu na mnajua kabisa sie paula huyo ila ilimradi tu mfurahishe roho zenu”.
Anaongeza “Nilinyamaza” ila sasa naona mnakoelekea ni pabaya..mnahisi yeye hana moyo? Au mnahisi haumii?Mwanangu anasoma na sitaki mumchanganye na mambo yenu ya kipuuzi”
“Vitu vibaya mnavyo muombea mwanangu viwarudie wenyewe, fanyeni tu mambo yenu yatakayofanya mpate faida katika maisha”.

0 Comments:
Post a Comment