‘LOVER boy’ wa filamu nchini Marekani, Nick Canon amemshukuru mchekeshaji Kevin Hart kwa upendo aliomuonesha baada ya kwenda kumtembelea hospitali na kumpatia zawadi za sikukuu.
Hart alisema yeye
“Najisikia furaha kumuona ndugu yangu Cannon akiwa katika hali nzuri ingawa bado hajatoka Hospitali, kwangu wewe ni mshkaji wa kipekee sana na ninaamini tutaendelea kudumisha urafiki wetu kwa muda mrefu Zaidi,”anaandika Hart kwenye akaunti yake ya Instagram.
Cannon alimshukuru Hart na wale wote waliomtakia afya njema pamoja na kumpatia zawadi “Asanteni wote kwa zawadi zenu na kwa kunipigia simu kunitakia sikukuu njema, naamini nitarejea katika hali yangu ya kawaida ili niweze kuwatengenezea kazi nzuri,” anaandika Cannon.
a Canon wamekuwa washkaji kwa muda mrefu na kitendo chake cha kwenda kumjulia hali kimewafanya mashabiki wa mastaa hao kuwasifu kwa kuendelea kushirikiana hata katika nyakati ngumu kama hizo za ugonjwa.
Hart alisema yeye
“Najisikia furaha kumuona ndugu yangu Cannon akiwa katika hali nzuri ingawa bado hajatoka Hospitali, kwangu wewe ni mshkaji wa kipekee sana na ninaamini tutaendelea kudumisha urafiki wetu kwa muda mrefu Zaidi,”anaandika Hart kwenye akaunti yake ya Instagram.
Cannon alimshukuru Hart na wale wote waliomtakia afya njema pamoja na kumpatia zawadi “Asanteni wote kwa zawadi zenu na kwa kunipigia simu kunitakia sikukuu njema, naamini nitarejea katika hali yangu ya kawaida ili niweze kuwatengenezea kazi nzuri,” anaandika Cannon.

0 Comments:
Post a Comment