Mexico City, Mexico
BAADA ya kuyeyuka kwa penzi la mrembo Iggy Azalea na supastaa French Montana, sasa mrembo huyo amehusishwa kuingia katika penzi jipya na mtayarishaji maarufu wa muziki nchini.
Siku za hivi karibuni Iggy alionekana katika fukwe za eneo la Cabo San Lucas akila bata katika boti binafsi akiwa na Ljay Currie ambaye ndio anadaiwa kuwa mpenzi wake kwa sasa.
Ljay ni mtayarishaji wa muziki ambaye aliwahi kufanya kazi na Chris Brown.
Agosti mwaka jana Iggy na French waliwahi kuonekana wakiwa pamoja pia kwenye fukwe hizo za nchini Mexico wakila bata pamoja.
0 Comments:
Post a Comment