Abuja, Nigeria
MSANII mkongwe wa maigizo nchini Chinendu Ikedieze a.k.a Aki ameonesha furaha yake kupitia kwenye akaunti yake ya Instagram kutokana na kufanikiwa kupata mtoto baada ya miaka sita ya ndoa yake.
Aki anasema kuwa familia yake imebarikiwa kupata mtoto wa kwanza ingawa hakuweza kusema kuwa mtoto huyo ni wa jinsia gani.
“Mtoto wa kwanza amezaliwa ndani ya familia hii, shukrani Mungu kwa Baraka ndani ya ndoa hii, nadhani mwaka umeanza vizuri,”anasema.
Msanii huyo alioana na mwanamke wake Nneoma Nwaijah tangu mwaka 2011 na hawakuwa wamefanikiwa kupata mtoto katika kipindi chote hicho.

0 Comments:
Post a Comment