Monday, July 1, 2013

OBAMA AWASILI TANZANIA LEO





Maofisa wa Usalama wa Marekani wakikagua barabara ya Nyerere kabla ya Rais wa Marekani, Barack Obama kupita katika makutano ya barabara ya Mandela na Nerere – Tazara jijini Dar es Salaam leo kwa ziara ya siku mbili nchini. 

 Askari Polisi akiongoza msafara wa Rais wa Marekani Barack Obama katika makutano ya barabara ya Mandela na Nyerere jijini Dar es Salaam leo


0 Comments: