Wednesday, March 20, 2013

DESTURI Ft. SOPRANO -DARAS HURU -

Jina langu ni Robert Shigemelo a.k.a Desturi! Ni msanii wa kizazi kipya wa Hip Hop. Huu wimbo wa DARASA HURU ni wimbo wangu wa kwanza nliofanya katika studio za AMBA Records chini ya usimamizi wa Producer Amba, nikishirikiana na Soprano katika Chorus.Sikiliza upate ladha kamili ya Hip hop ya Kizazi kipya, Natarajia kufanya Video karibuni kabla ya May itakuwa hewani. Pamoja na hayo yote tarajia kupata zaidi kutoka kwa msanii wako DESTURI, nyimbo mpya ambazo ziko studio zinapikwa.
Kwa mawasilino zaidi nicheki kwa 0757325130 au 0714939678 na email address ni robbieclassic@yahoo.com Facebook account name Robert shigemelo.
ARTIST: DESTURI
SONG: DARASA HURU
PRODUCER: PRODUCER AMBA
STUDIO: AMBA RECORDS – 0713 362023

0 Comments: