MeccaCheka wafanya collabo na Nakaaya na round hii track inakwenda kwa jina "Darasa Huru"
ikiwa ni hiphop track yenye mafunzo tosha kwa jamii,"Tumewajia
ki-concious saivi maana Meccacheka wengi wanatufaham kama wakali wa
ngoma za club zaidi kupitia "rakata","cheka Ung'atwe na "pole"
tulizorecord mtindo wa kwaito/mdundiko" asema Mwiro ambaye ndio kiongoz
wa kundi,Riz asema "Meccacheka tunawashukuru zaidi washabiki wetu wote
mnaotupa shavu, kutu-support game letu pamoja na harakati zetu
zingine,pia kwa siter Nakaaya na Defxtro pande za noizmekah.com kwa kutupa moyo wa kufanya yetu" kwa mawasiliano/interview na booking za show check nasi kupitia 0654879598 & 0715652878 download darasa huru HAPA
0 Comments:
Post a Comment