Saturday, November 17, 2012

B-man pamoja na KC & Narx ndani ya bounce track matata

B-man anayejulikana vema kwa collabo ya "hello" aliofanya na Matonya round hii anakuja na "Niambie" ikiwa ni bounce track toka noizmekah.com kwa defxtro humo akiwa amemshirikisha KC toka FBG & Narx ndani ya bounce hilo,support kwa kudownload HAPA ngoma shavu zaidi kwa wadau wote media na fans wa Bman,holla kupitia 0712555030 kwa mahojiano/bookings na Tshirts zangu mpya kibaooooo

0 Comments: