Monday, November 19, 2012

AY MSHINDI WA TUZO ZA CHANNEL O MUSIC AWARDS

 
AY ndio msanii pekee kutoka TANZANIA (East Africa) aliyenyakuwa tuzo ya Channel O Music Video Award kwa mwaka huu 2012 katika kipengele cha MOST GIFTED AFRICAN EAST VIDEO OF THE YEAR. Video iliyochukuwa tuzo hiyo ni I DON'T WANT TO BE ALONE akiwa amewashirikisha wasanii kutoka Nairobi Kenya wanakwenda kwa jina la Sauti Sol.
Special Thanks to God n all fans who support @AyTanzania since day one till today... Special Thanks to @sautisol n East,West,South,Central Africa n worldwide people who vote n believe to AY music. We don't have any thing to return more than say thank you God Bless you. We Love You All. Jumapili alikuwa akifanya video yake mpya katika jiji la Johannesburg -Sandton inayokwenda kwa jina la "Money" akiwa amemshirikisha V
BIG UP AY

0 Comments: