Friday, July 20, 2012

PICHA YA BEYONCE NA MTOTO WAKE

Millions ya Fans wanahamu ya Kuona Picha ya mtoto wa Jay Z na Beyonce,
Mapaparazi kama kawa kama dawa kasoro kidongee, wametega mpaka kuipata picha nyingine tena ya Beyonce akiwa na Mwanae katika moja ya Shopping mall, wakinunua mazagazaga.
Cheki hiyooo!!!!!

0 Comments: