Header Ads

LADY GAGA ATANDAZA ZA UTUPU TENA

Katika kustua jamii tena, lady gaga ametupia picha zake ambazo anaonekana akiwa mtupu katika mtandao wa twitter akiwa amekaa kwenye kiti. Watu wengi ikiwemo wapenzi wa mziki wake wamekuwa wakishangazwa kwa mtu kama lady gaga mwenye vipaji vingi kuamua kufanya mambo ya aibu. Cheki picha hiyoo

No comments

Powered by Blogger.