Monday, July 30, 2012

FAT JOE AFANYA VIDEO YAKE MPYA YA PRIDE N JOY AKIWASHIRIKISHA KANYE WEST, ASHANTI NA MIGUEL

Fat Joe and Kanye West

Mzee mzima Fat Joe’s kwa sasa yuko katika kutengeneza video mpya inayokwenda kwa jina la "Pride N Joy" mkali huyo wa anayefahamika kama Joey Crack,mwenye uzito wa karibia 100 pounds kwa mwaka ule, ameungana na wakali kama vile Kanye West, Miguel, Jadakiss, DJ Khaled, Roscoe Dash na Busta Rhymes katika kuitengeneza video hiyo inayofanywa na mkali Williams katika jiji la New York. Ashanti alikuwepo kumpa sapoti ya nguvu katika kufanikisha ngoma hiyo aliyefanya nae ngoma ya “What’s Luv?” kipindi kile.

Check out some Instagram pics from the star-studded set below.

Fat Joe and Ashanti

Roscoe Dash, Ashanti, Fat Joe, and DJ Khaled

Roscoe Dash, Ashanti, Fat Joe na Dj Khaled


Fat Joe and Jadakiss

Fat Joe na Jadakiss

Fat Joe and Kanye West

Fat Joe na Kanye West

Fat Joe and Hype Williams

Hahaaaaa Fat Joe na Director mwenye Hype Williams

0 Comments: