Monday, May 7, 2012

Benjamini Mkapa atoa ushaidi dhidi ya aliyekuwa Balozi wa Italia nchini Tanzania

Benjamini Mkapa akitoka Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam
Benjamini Mkapa akiingia Mahakama ya Kisutu jijini Dar es Salaam
Prof Mahalu akiwa na mwanae
Benjamini Mkapa akitoka Mahakamani kutoa Ushahidi wake

Rais mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamini Mkapa nje ya Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu kutoa ushahidi dhidi ya aliyekuwa Balozi wa Italia Prof. Costa Mahalu anayekabiliwa na kesi ya kuhujumu uchumi jijini Dar es Salaam leo.

0 Comments: