Msanii MB anayetokea pande za Terat,anakuja na pini jipya la "Life Game" alorekodia noizmekah.com chini ya producer DefXtro,Muziki anaofanya mchizi ni hiphop,"Nipo karibu nanyi fans wangu mtegemee nyimbo zingine kali toka kwangu,Shout out kwa ORS pande za Terat mana ndipo niliporekod ngoma yangu ya kwanza na ikanitambulisha katika game la muziki,shukran kwa ma dj wote tanzania kwa support,kazi ambayo nitaiachia baada ya hii itakuja kwa jina la "Live bila Chenga"
Wednesday, January 18, 2012
M.B wa Terat aja na track-Life Game
Wednesday, January 18, 2012
No comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Comments:
Post a Comment