Baba wa ukoo a.k.a Mo plus ndani ya Noizmekah studios Arusha akiwa na
Banx & Roma ambapo ilidondoshwa hiphop track ya ukweli,Ngoma hiyo ipo
katika harakati za kufanyiwa mixing."m2 mzima nimemshirikisha Roma
mkatoliki coz mziki wake upo real kama wangu so ni blessing kwangu na
hiphop kuweza kuendeleza revolution,hii ni mara ya kwanza kwa Roma
Kufanya track ndani ya noiz na ndan ya A-town,mbali na ngoma hii
itakayotoka hewani baada ya mixing,nimeshaanza project ya mixtape na
JCB,Ngoma ya kwanza ikiwa ni beat ya producer "Moscore" na mixing ya
"Dx" ndani ya noizmekah arusha.pini hilo pia Banx kasmamia chorus na
linaenda kwa jina "everywhere we go"
Monday, September 5, 2011
Mo plus ft Roma Mkatoliki & Banx
Monday, September 05, 2011
No comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Comments:
Post a Comment