Hii ilikuwa siku waliokua wanashoot video mpya inayoenda kwa jina la SPEAK WITH YOUR BODY - AY FEAT: ROMEO & LA'MYIA director wa video hiyo ni William Tikki & Shai Kedem na Producer wa audio anaitwa Riley waliouza kwenye video hiyo ni pamoja na NO LIMIT SOLDIERS,ACTRESS MEAGAN GOOD & ACTOR SAM JONES III ambae ameshawahi kutokea kwenye video kibao ambazo zimeshawahi kufanya vizuri kwenye ulimwengu wa mziki duniani pia ACTOR SAM JONES III na NO LIMIT SOLDIERS....Video Hiyo LOCATION:HOLLYWOOD CALIFORNIA na inarajia kutoka baada ya wiki mbili mashabiki wakae mkao wa kula.
0 Comments:
Post a Comment