Monday, October 4, 2010

AY & MS TRINITY katika GOOD LOOK video shooting

AY & MS TRINITY katika GOOD LOOK video shooting
AY & MS TRINITY katika GOOD LOOK video shooting

Wiki iliyopita AY pamoja na msanii kutoka Trinidad and Tobago Ms Trinity walielekea nchini Uganda na kushoot video yao mpya.
Wimbo huo ulirekodiwa katika studio za B.Hits jijini Dar es Salaam na video kufanyiwa ndani ya jiji la Kampala chini ya director Donald kutoka Dedac Production.

Habari zaidi tembelea http://www.ay.co.tz

0 Comments: