Friday, June 4, 2010

KUTOKA KWA AY:MUSEKE AWARDS

Hali vipi?Napenda kuwashukuru mafans wote wote walionisupport kwa kunitakia kheri na kunipigia kura katika Tunzo za Ghana zijulikanazo kwa jina la MUSEKE.Kwani nimeshinda East African Song of the Year kupitia wimbo wa LEO.Ushindi huu si wangu peke yangu ni pamoja na Watanzania wote,Mashabiki wa AY na mashabiki wa Muziki kwa ujumla.Nafanya kazi sana,mnanipa support kubwa na Matokeo tunayaona.Mafanikio bado hatujayafiki so MO FAYA. Naenda kampala leo kupiga show katika fainali za Pilsner Djs Spinning.

Kutoka kwa AY

0 Comments: