Msanii Farid Kubanda a.k.a Fid Q ameachia ngoma yake mpya inayokwenda kwa jina la NGOSHA THE SWAGGER DON ikiwa ni kazi yake MJ Record chini ya produza Marco Chali.ebwana ngoma imesimama ile mbaya kwani kwa sasa Ngosha amekuja kwa staili nyingine kabisa katika ramani ya muziki.
Friday, June 4, 2010
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Comments:
Post a Comment