Msanii wa muziki wa R&B nchini kenya Amani Wairimu almaarufu Amani kwa sasa yuko Uk akifanya shoo ya kufa mtu yake ya kwanza jijini London siku ya Ijumaa ya tarehe 2 katika ukumbi wa Ambassador. Amani kwa sasa bado ana shoo nne nchini Uingereza, ambapo ni Reading, Bristol na London na hii ikiwa ni  katika harakati ya kufanya kweli kwa mwaka huu wa 2010, mwanadada huyo ameongea na kona hii na kusema kwa sasa yuko huko akifanya makamuzi hayo.Kwa habari nyingine nyingi kuhusiana na shoo nyingine zilizobaki endelea fuatilia blog yako kujua mengi yanayoendelea uko UK.
Monday, April 5, 2010
AMANI YUKO UK AKIFANYA SHOO
Monday, April 05, 2010
  
  No comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)






0 Comments:
Post a Comment