Monday, March 8, 2010

RICK ROSS AJA NA KIBAO KIPYA

Hivi unafikiria kitu gani kutoka kwa mwana Hip Hop Rick Ross,kuwaa na bifu na 50 Cent kuhusiana na muziki wao na kutambiana hakuna anayemuweza mwenzake.Huku akiendelea kutamba na albamu yake ailiyoitoa mwaka jana inayokwenda kwa jina la Official White Label na mwaka huu wa 2010 ametoa kibao chake kipya kinachokwenda kwa jina la “Grab Yo Beltloop”.
Rick Ross huo ni mwanzo tu kuonyesha kuwa anauwezo kuweza kutoka nyimbo kila siku baada ya kufanya kweli kwenye albamu yake ya Official White Label iliyokuwa na nyimbo 30.

0 Comments: