Mwanadada kutoka Kenya nyota ndogo amekanusha uvumi ya kuwa anataka kuimba nyimbo za dini na badala yake amesema kuwa yeye hataimba nyimbo za dini badala yake ataendelea kuimba nyimbo zake kama kawaida.
Nyota ndogo ambaye atakuwepo katika tamasha la Tamasha la Saui za Busara itakayofanyika Zanzibar tarehe 11- 16 Februari.wasanii wengine watakaokuwepo ni pamoja na Thandiswa (South Africa) Ba Cissoko (Guinea) Malick Pathé Sow (Senegal) Simba & Brown Band (Mozambique) Debo Band (Ethiopia / USA) Banana Zorro & the B Band (Tanzania).
Ikwani Safaa Musical Club ft Tamalyn Dallal (Zanzibar / USA) Tausi Women's Taarab (Zanzibar) Mari Boine (Norway) Dawda Jobarteh (The Gambia) Del & Diho (Mayotte) Fresh Jumbe & African Express (Tanzania / Japan) Chidi Benz (Tanzania) Kilua Ngoma (Tanzania) Mim Suleiman (Zanzibar / UK) Massar Egbari (Egypt) Sinachuki Kidumbak (Zanzibar) Bamba Nazar & The Pilgrimage (Suriname / NL) Joel Sebunjo & Sundiata (Uganda) Makadem (Kenya) Maureen Lupo Lilanda (Zambia) Juliana Kanyomozi (Uganda) Mzungu Kichaa (Denmark / Tanzania) Jhikoman (Tanzania) Best of WaPi (Tanzania) Shirikisho Sanaa (Zanzibar) Sosolya Dance Academy (Uganda) Mapacha Africa (Kenya) Swifatui Abraar Group (Tanzania) DJ Eddy (Zanzibar) DJ Yusuf (UK / Zanzibar) Sowers Group (Tanzania) Maia Von Lekow (Kenya) Swahili Vibes (Zanzibar) Tunaweza Band (Tanzania) KVZ Tupendane (Pemba) na wengine wengi.
Monday, February 1, 2010
Siwezi kuimba nyimbo za dini-Nyota Ndogo
Monday, February 01, 2010
No comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Comments:
Post a Comment