Msanii wa muziki wa Hip Hop nchini G-Solo hivi majuzi amefiwa na mama yake mzazi pamoja na Dj Steve ambaye nae mama yake mzazi wamemzika hivi majuzi katika makaburi ya kinondoni. Tunawapa pole ndugu zangu G-Solo pamoja na Dj Steve kwa kufiwa na wazazi wao.Wao waliwapenda sana ila mungu amewapenda zaidi.
Saturday, February 20, 2010
G-SOLO AFIWA NA MAMA YAKE MZAZI
Saturday, February 20, 2010
No comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)






0 Comments:
Post a Comment