Msanii Bebe Cool amemwambia wakili wake kuwa lazima polisi hawashtaki kwa kutendo alichomfanyia.
Bebe Cool ambaye kwa sasa yuko hospitali kwa matibabu alitoa ajizo hilo wiki iliyopita kwa wakili wake huku madaktari wakisema kuwa ataendelea kuwa katika uangalizi wao.
Msanii huyo alipigwa risasi na watu hao ambapo baadae walikuja kutambuliwa kuwa ni maafisa wa usalama kutokana na sababu ambazo hazikufahamika mara moja.
Habari zilizopatikana ni kwamba msanii huyo alishambuliwa alipofika kwenye mgahawa maarufu na kuanza kuzozana na walinzi wa mgahawa huo.
Shabiki mmoja alisema kuwa msanii huyo alikuwa amekorofishana na wasanii Radio na Weasle na baadae akashambuliwa na watu waliokuja kutambuliwa baadae kuwa ni maafisa wa polisi.Waimbaji wenzake ambao ni Chameleone na Bobi Wine wameweka tofauti zao pembeni na sasa wanamsaidia wenzao ili kukabiliana na polisi kisheria.
Friday, February 5, 2010
Bebe Cool kuwashtaki polisi
Friday, February 05, 2010
No comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Comments:
Post a Comment