Wednesday, February 24, 2010

AY KUFANYA KAZI NA J MARTINS

Msanii Peter, ay, Paul na J-Martins
Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Ambwene Yessaya a.k.a AY amesema kuwa baada ya kutamba na wimbo wa Kings and Queens alishirikiana na AMANI & JOKATE ikiwa ni kazi ya Hermes B. Joachim Lyimo a.k.a Hermy B chini ya studio ya B’Hits sasa anataka kufanya kazi na mmoja wa wakubwa kutoka Nigeria, J-Martins anayetamba na kibao cake cha Oyoyo.

Akichonga na kona hii AY amesema anatarajia kuondoka muda wowote kuanzia sasa kwenda kufanya kazi na J-Martins ambapo kazi nzima itafanyika nchini Nigeria.

0 Comments: