Msanii wa muziki wa R&B nchini Kenya Nyambura Mwangi a.k.a Avril amesema kwa sasa amepata kazi katika jarida moja la Kifaransa linalofahamika kama Lalvirae.
Mwanadada huyo ambaye alitamba katika wimbo wa leo Remix wa Ay, amesema amepata kazi katika jarida hilo na sasa ameshaanza kazi katika jarida hilo kama Graphic Designer aliyoisomea katika chuo kikuu cha Nairobi.
“ Nitakuwa nafanya kazi hapo kama Graphic Designer katika jarida hilo ila kazi yangu ya muziki nitaendelea nayo kama kawaida sio kama nimeacha kwani ni kipawa nilichopewa na mungu,”alisema Avril
Tuesday, February 23, 2010
AVRIL KUPIGA KIBARUA KATIKA JARIDA
Tuesday, February 23, 2010
No comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Comments:
Post a Comment