Ebwana eeh! mkubwa unajua kama kundi la Bracket kutoka Nigeria linaloundwa na vijana wawili ambao ni Vast na Smash wanaotamba na kibao chao cha Yori yori.
Vijana hawa kwa ufupi ni vijana wanaofanya vizuri kwa sasa katika soko la muziki nchini Nigeria na Afrika kwa ujumla, Kwa upande wa Vast jina lake kamili ni Ozioko Nwachukwu kutoka Enugu Nigeria na ni mtoto wa tano katika familia ya watoto sita na bado hajaoa.
Smash yeye jina lake kamili ni Ali Obumneme nae kutoka Enugu State ni mwanafuzi kutoka katika chuo cha Nigeria cha Nsukka, bado hajaoa. Katika wimbo wao wa Yori yori ambao wanamshukuru mungu kwa kazi yao nzuri na ufanisi walionao
Friday, January 15, 2010
Unawajua vijana wa Bracket
Friday, January 15, 2010
No comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Comments:
Post a Comment