Thursday, January 7, 2010

Trina kuja na video mpya mwaka 2010


Msanii wa muziki wa Hip Hop nchini Marekani Trina anakuja na video moja la ukweli hivyo mashabiki wa mwanadada huyo kaeni mkao wa kula kuisubiri hiyo video mpya kwani kwa sasa yuko katika harakati za kupiga picha video hiyo.
Kutaka kujua mengi usicheze mbali kujua mengi kuhusu mwanadada huyo na video ya wimbo huo.

0 Comments: