




Msanii wa muziki wa kizazi kipya nchini Ambwene Yessaya, Ay leo ndio ameachia video ya Kings & Queens aliyoshirikiana na Jokate na Amani katika vituo vya televisheni vya EATV ambapo kituo hicho ndicho kitakuwa cha kwanza kuicheza video hiyo.
Video ya wimbo huo imetengenezwa na Ogopa DJZ na audio imefanywa na B.hitz Music Group chini ya produza Hermy B.
Ay alimaliza kusema kuwa mashabiki wake wake mkao wa kula kwani kuna mambo mazuri na makubwa yanakuja kwa mwaka huu wa 2010.
Thursday, January 7, 2010
AY leo aachia wimbo wake wa Kings and Queens
Thursday, January 07, 2010
No comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)






0 Comments:
Post a Comment