Ile ishu ilikuwa inamkabili Mfalme wa Bling Bling nchini Kenya, Jackson Makini a.k.a CMB Prezzo ya kuuza nyumba hatima amesema kuwa suala la kuuza nyumba ni la kwake binafsi na wala hataki kulizungumzia kiivyo.
Msanii huyo alisema kuwa nyumba hiyo ambayo ilikuwa katika maeneo ya Mathare North haihusiani na familia yake, ambapo nyumba hiyo aliiuza kwa ghalama za shilingi 10 na sio milioni 5 kama walivyosema huku familia yake ikisema kuwa nyumba hiyo ilikuwa inatakiwa iuzwe shilingi milioni 15 hadi 20 za Kenya.
Prezzo alisema kuwa biashara hiyo aliyoifanya haiusiani na familia yake kama walivyosema. “ Hii sio biashara yao” aliyasema hayo kwa njia ya simu.
Friday, January 22, 2010
HII SIO BIASHARA YAO-CMB PREZZO
Friday, January 22, 2010
No comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Comments:
Post a Comment