Monday, January 4, 2010

Ebwana unawakumbuka hawa

Mkubwa unamkumbuka O-Ten mwenye fulana ya pinki na Buff G mwenye kitambaa chepe kichwani, hivi siku hizi unajua wanafanya nini basi kaa mkao wa kula kujua wako wapi na wanafanya nini katika ramani hii ya muziki wa kizazi kipya hapa Bongo.

0 Comments: