Msanii wa muziki wa hip hop nchini Marekani Bun B amefanya shoo hiyo katika jiji la Houston nchini Marekani kwa ajili ya kuwasaidia walioathirika na tetemeko la ardhi Haiti.
Bun B alifanya hivyo baada ya kuona watu wengi katika mji huo wakikosa makazi ya kuishi zaidi ya watu milioni 2 kutokana na tetemeko hilo ambapo katika tamasha hilo alilolifanya hivi karibuni lilikuwa kwa ajili ya kukusanya fedha zitakazo saidia wahanga hao, tamasha hilo lilianza mida ya saa kumi jioni na kiingilio chake kilikuwa ni $20.
Wasanii walioshiriki katika tamasha hilo ni pamoja na Slim Thug, Trae The Truth, ESG, Lil O, Candi Redd, Just Brittany, Corey Mo and The Party Boyz.
Tuesday, January 19, 2010
Bun B afanya shoo ili kukusanya fedha kuwasaidia walioathirika na tetemeko la ardhi Haiti.
Tuesday, January 19, 2010
No comments
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 Comments:
Post a Comment