Thursday, December 31, 2009

Cannibal kuukaribisha mwaka mpya ndani ya Mombasa


Leo tarehe 31/12/2009 ndani ya jiji la Nairobi kutafanyika bonge la tamasha ambalo limeandaliwa na Eazy Fm na jarida la Buzz litakalofanyika ndani ya Mombasa Beach Hotel.

Wasanii watakaopiga shoo ndani ya tamasha hilo ni Cannibal na Syd huku katika mashine atakuwepo Djs Space, Delph, Pinye, Nijo na wengine wengi ili kuukaribisha mwaka 2010 na kuuaga mwaka 2009.

0 Comments: