Naitwa Gami Dee (@gamideetz) Ni Mtangazaji Wa Vipindi Vya Burudani Ice Fm Njombe 99.5 pia ni msanii wa muziki wa kizazi kipya
Leo Nimeachia Wimbo Wangu wa 6 Tangu nimeanza kufanya muziki, hivyo nakualika kusikiliza wimbo huu na Nahitaji Support Yako Pia.
Naamini katika wewe inawezekana Na Kwa umuhimu wako ndiomaana nimekutumia wimbo huu
MAWASILIANO
Instagram: @gamideetz
Twitter: @gamideetz
Facebook: gamideetz
Phone: 0715971027 & 0622770400
0 Comments:
Post a Comment