Tuesday, August 1, 2017

Wastara anaogopa wanaume kama ‘ukoma’

MWIGIZAJI wa filamu za kibongo nchini Wastara Juma amevunja ukimya na kueleza kwa sasa anachukia kila mwanaume baada ya kuharibiwa kisaikolojia.
Wastara ametoa kauli hiyo huku akimtaja mume aliyemsababisha awe hivyo anamtaja(jina kapuni), na kusisitiza kuwa kisaikolojia hayupo sawa.
“Ikitokea mwanaume anasema ananipenda yani nachukia kabisa kwani naona kama wanaume wote wapo hivyo. Imefika hatua nawaogopa wanaume kama ukoma,’anasema.

0 Comments: