MWANAMUZIKI Rihanna ameamua kutoa msaada wa baiskeli kwa wasichana nchini Malawi kwa lengo kuwasaidia kwenda shuleni kupata elimu.
Rihanna anasema msaada huo unatokana na mojawapo ya ushirikiano kati ya Wakfu wa mwanamuziki huyo wa Clara Lionel Fountaion na kampuni moja ya baiskli kutoka China Ofo.
Hivyo kupitia kampeni ya 1km Action itatoa ufadhili huo ili mamia ya wasichana wahudhurie shule za upili nchini malawi.
Na wale watakaofuzu kupata ufadhili huo watapewa baiskeli ili kuhakikisha wanakwenda shule.Kulinga na wakfu huo kuna takriban wanafunzi milioni 4.6 nchini Malawi lakini ni asilimia nane pekee wanaokamilisha masomo yao ya shule za upili.

0 Comments:
Post a Comment