Header Ads

PICHANI: Magic Johnson na familia yake wakiwa mapumziko Portofino, Italy


Mfalme wa NBA Magic Johnson na mkewe Earlitha “Cookie” Johnson, wakiwa na watoto wao Earvin “EJ” Johnson III, Elisa Johnson na Andre Johnson wakiwa wameenda kufanya 'shopping' siku ya mapumziko Portofino, Italy.

Johnsons akiwa amep[ozi na familia yake kutoka kulia kwenda kushoto ni Andre Johnson, Magic, Cookie, Elise na  EJ Johnson. Andre mwenye miaka 36, Magic’s ni mtoto wake wa kwanza kwani ndjo mtoto wa pekee ampendae katika mahusiano yake.Mtoto wake wa kike Elise 22 ambaye amemuasili. Familia hiyo walikuwa mapumziko na kutoka kwa chakula cha mchana na rafiki yake  Samuel L. Jackson na mkewe(hawapo pichani).
Mchezaji wa mpira wa kikapu aliyestaafu, Magic Johnson akiwa na mkewe Cookie na watoto wake wa kiume Andre na kushoto EJ wakiwa mitaani wakizunguka katika jiji la Portofino ambalo ni la watu mabillionaire na matajiri wanaojiachia huko kwa kukodi boti ya gharama kwa ajili ya starehe nchini humo.
Transsexual reality TV star EJ Johnson, 25, dressed respectfully in all black so as not to draw attention to his wealthy parents, who fund his extravagant lifestyle when the reality TV checks run out.

No comments

Powered by Blogger.