Friday, August 25, 2017

PICHANI: Christina Milian & Matt Pokora, Tyler James Williams, Aaron Grady, A$AP Rocky



Msanii Christina Milian ambaye tangia aachane na mpenzi wake Lil Wayne amekuwa hayuko katika mapenzi halisi ambapo kwa sasa yupo anatafuta. Kwa sasa yuko na mchumba wake mpya msanii wa muziki kutoka Ufaransa Matt Pokora walionekana katika boti  Club 55 wakifurahia maisha siku ya mapumziko huko  Saint Tropez.


Christina katika historia ya mapenzi yake na wanamuziki na marappa ameonekana kushindwa kabisa. Matt ameonekana kutoka nae kwa marea ya kwanza baada ya kukaa kwa muda bila kuwa na mtu hasa kwa wasanii wa hip-hop. Msanii huyo mwenye miaka 35 kwa sasa akiwa na mtoto mwenye miaka saba wa kike Violet Nash aliyezaa na mwanamuziki, produza The-Dream.


24-year-old Tyler James Williams, left, and Aaron Grady, 26, who played brothers on TV sitcom Everybody Hates Chris, attended the Ted Baker A/W 2017 Launch Dinner at Sawyer on Wednesday in Los Angeles.


Rapper A$AP Rocky struck a prison pose for the paparazzi Wednesday afternoon in the Soho neighborhood of New York, before getting into a waiting limo.

Christina Milian & Matt Pokora


Tyler James Williams

0 Comments: