Tuesday, August 15, 2017

Lulu sasa atamani mtoto

MWIGIZAJI wa filamu za kibongo Elizabeth Michael a.k.a Lulu amesema wa umri alionao kwa sasa imefika hatua ya kupata mtoto.
Lulu anasema anatamani tu na yeye apate mtoto ila ndio hivyo tena bado anatengeneza mipango ili awe mama bora.
“Ni wakati muafaka wa mimi kupata mtoto lakini bado natengeneza mipango ya kuwa mama bora,”anasisitiza Lulu.

0 Comments: