Ule uvumi ya kuwa mwanadada Hamisa Mabetto ya kuwa mtoto aliyejifungua amezaa na msani DiamondPlatinumz imewaweka mashabiki njia panda baada ya kumpa mtoto wake jina la @abdulnaseeb_tz baada ya kuenea uvumi amezaa na msanii huyo.
Mwanadada huyo ambaye alikuwa na mahusiano na Majizo baada ya kuachana na sasa uvumi kuenea alikuwa na mahusiano na msanii Diamond na kwamba ameza nae mtoto wa kiume.
0 Comments:
Post a Comment