TABIA ya baadhi ya mastaa wa kike kuweka picha zao pindi wanapokuwa na ujauzito katika mitandao ya kijamii sasa inaonekana kumkera Muigizaji maarufu nchini katika tasni ya Bongo Muvi Wema Sepetu ambapo ametoa msimamo wake kuwa tabia hiyo haimfurahishi.
Wema anasema kuwa kitendo cha mtoto wa kike kuweka picha ya tumbo hadharani kwasababu ya kuonesha kuwa anao ujauzito si la maadili ya kiafrika na hasa Tanzania kwa ujumla.
Akatumia mtandao wake wa kijamii kutoa pongezi zake kwa muigizaji wa Bongomovie Esha Buheti baada ya kupiga picha akiwa mjamzito ndani ya mavazi ya kumsitiri.
Wema amefafanua kuwa yeye kutokuwa na mtoto haimaanishi awe kimya hata pale yanapotokea mambo yanayomkera kuhusu masuala yanayohusu mimba, uzazi na malezi kwa mtoto.

0 Comments:
Post a Comment