Moja kati ya vitu vilivyoshamiri kwa sasa katika urembo ni kwa wadada wa kiafrika kutoka Marekani ni upasuaji wa Dimpoz. Kwa mara ya kwanza kabisa ilikuwa Asia, lakini kwa sasa ni United States ndio wanapenda sana.