Thursday, July 20, 2017

Tuanze kusherekea: Ujumbe wa Temi Otedola kwa mchumba wake, Mr Eazi

 

Mapenzi ni kitu kingine kabisa! Mtoto wa kike wa Billionaire  na mwanamitindo wa Blog, Temi Otedola’s ambaye ni mchumba wa msanii Mr Eazi aliyeshirikiana na msanii kutoka Tanzania, Ben Pol ametuma ujumbe katika mtandano wa Instagram kwa kusherekea.


Fashion blogger huyo Temi Otedola ametuma picha ya zamani waliyopiga wakiwa katika boti pamoja wakila bata jijini Spain mwaka huu na kuandika ujumbe na mchumba wake huyo kwa kusherekea pamoja na kuandika ujumbe katika picha hiyo; “(A social media message just can’t do this justice) Happy Birthday to my right hand in all this! Let’s just say my look in this photo says it all. Get off that plane quick and let’s start the celebration."
The love birds seems so happy together!

TEMI5.jpg


Wimbo alioimba na Ben Pol:

0 Comments: