Baada ya kupotea kwa miaka saba(7) msanii Trina sasa amerudi katika ulimwengu wa muziki na sasa anakuja na albamu yake mpya itakayokwenda kwa jina – ‘The One.’
Katika albamu yake hiyo anachia pini ya ‘Damn’ na ‘If It Ain’t Me’ akimshirikisha K. Michelle, Malkia huyo toka Miami anapanga tarehe ya kuachia albamu hiyo.
Katika kalenda yake mwanadada huyo amesema September 8th 2017 ndio itakuwa siku ya kupanga 'project' yake.
Trina mwenye miaka 38 ameachia 'cover' ya icha ya zamani akiwa mdada mdogo:
During a recent press run, Trina revealed that the album is executive produced by Rico Love and will feature the likes of Lil Wayne and 2 Chainz.
We’ve long loved what she serves up, so we’re more than ready for another helping.
Roll on September.






0 Comments:
Post a Comment