MSANII asiyeishiwa vituko wa Nigeria, Tonto Dikeh amewachanganya mashabiki wake baada ya kutinga katika mkutano wa Kimataifa wa ‘Woman 4 Woman’ uliofanyika jijini Abuja akiwa amevaa hijabu.
Mwanadada huyo alikuwa ni miongoni mwa watoa mada katika mkutano huo lakini watu waliokuwepo ukumbini hapo walishindwa kumtambua mara moja kama ni yeye.
Muonekana huo ulizua mjadala mkubwa ukumbini huku wengine wakimsifia na kumwambia awe anavaaga hivyo hivyo mavazi ya heshima.
Lakini kwa upande alionekana kutokuwa na jibu zaidi ya kuendelea kucheka huku akiwapungia mikono kuashiria yupo pamoja naye.

0 Comments:
Post a Comment